In authors or contributors

Teknolojia na maendeleo ya taaluma ya walimu nchini Tanzania: Zana za utafiti

Resource type
Report
Authors/contributors
Title
Teknolojia na maendeleo ya taaluma ya walimu nchini Tanzania: Zana za utafiti
Abstract
Kifurushi hiki kina zana za utafiti zilizotengenezwa na EdTech Hub, Aga Khan University, na Taasisi ya Elimu Tanzania kwa ajili ya utafiti unaochunguza athari za programu ya maendeleo ya kitaaluma ya walimu kwenye matokeo ya masomo ya ngazi ya msingi. Zana zimetengenezwa na kufanyiwa majaribio makubwa katika warsha, pamoja na shuleni. Zana hizi zimetengenezwa kwa kuzingatia mifano mizuri kama vile zana ya Benki ya Dunia ya TEACH ya uchunguzi wa darasani, pamoja na miradi mingine ya utafiti ambayo timu imefanyia kazi. Tunaweka zana hizi zipatikane kwa watafiti wengine na watendaji tukitumai kuwa zitakuwa za manufaa. Zana hizi zinapatikana kwa umbizo linaloweza kuhaririwa ili wengine waweze kuhariri inavyofaa kwao.
Report Type
Research Instruments and Tools / Zana za utafiti
Institution
EdTech Hub
Date
2023-03-06
Language
Swahili
Call Number
0149
Rights
Creative Commons Attribution 4.0 International
Extra
DOI: 10.53832/edtechhub.0149 ZenodoArchiveID: 7701270 ZenodoArchiveConcept: 7701269
Notes

Zana hizi zinapatikana kwa lugha ya kiingereza hapa https://docs.edtechhub.org/lib/GXM765F3

Citation
Koomar, S., Massam, W., Jacob, W., Gervace, A., Adam, T., Hennessy, S., Chacage, K., Malibiche, M., Mutura, E., Mtenzi, F., & Mwakabungu, F. (2023). Teknolojia na maendeleo ya taaluma ya walimu nchini Tanzania: Zana za utafiti [Research Instruments and Tools / Zana za utafiti]. EdTech Hub. https://doi.org/10.53832/edtechhub.0149
Language of publication
Focus Countries