Usawa na maamuzi katika Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini yanayowezeshwa na Teknolojia nchini Tanzania: Zana za utafiti

Resource type
Report
Authors/contributors
Title
Usawa na maamuzi katika Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini yanayowezeshwa na Teknolojia nchini Tanzania: Zana za utafiti
Abstract
Kifurushi hiki kina zana za utafiti zilizotengenezwa na EdTech Hub, Chuo Kikuu cha Dodoma, Chuo Kikuu cha Aga Khan, na Taasisi ya Elimu Tanzania kwa ajili ya utafiti unaochunguza upanuzi na mabadiliko ya kuendana na mahitaji ya walimu na mazingira ya shule katika utekelezaji wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) unaojumuisha matumizi ya teknolojia. Katika kuandaa zana hizi, tumetumia zana zilizochapishwa katika awamu ya kwanza ya utafiti huu na mifano kutoka sehemu mbalimbali, kwa kuzingatia mifano mizuri ya utafiti kuhusu elimu. Tunaweka zana hizi zipatikane kwa watafiti wengine na watendaji tukitumai kuwa zitakuwa za manufaa. Zana hizi zinapatikana kwa umbizo linaloweza kuhaririwa ili wengine waweze kuhariri inavyofaa kwao. An output of the EdTech Hub, https://edtechhub.org/
Report Type
Research Instruments and Tools
Institution
EdTech Hub
Date
20/04/2025, 00:00
Language
en
Call Number
edtechhub.1097
Rights
Creative Commons Attribution 4.0 International
Extra
DOI: 10.53832/edtechhub.1097 ZenodoArchiveID: 14901456 ZenodoArchiveConcept: 14901455
Notes

Zana hizi zinapatikana kwa lugha ya kiingereza hapa: https://docs.edtechhub.org/lib/9DMTVDDG

Citation
Chachage, K., Swai, C., Rwambali, I., Hennessy, S., Koomar, S., Massam, W., Jacob, W., Anthony, G., Malibiche, M., Mutura, E., Adam, T., Mwakabungu, F., Mrosso, V., Komba, P., & Mtenzi, F. (2025). Usawa na maamuzi katika Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini yanayowezeshwa na Teknolojia nchini Tanzania: Zana za utafiti [Research Instruments and Tools]. EdTech Hub. https://doi.org/10.53832/edtechhub.1097
Educational level
Language of publication
Research method
Focus Countries