This is a Swahili version of the policy brief Teachers’ Experiences of Teaching With Technology in Tanzania: Recommendations for policy and practice published in October 2022. Muhtasari huu wa masuala ya kisera unatoa ripoti ya utafiti wa walimu nchini Tanzania (Julai-Novemba 2021) ambao EdTech Hub iliagiza HakiElimu kuufanya ili kuchangia taarifa itakayosaidia mchakato endelevu wa serikali kuleta mageuzi ya MEWAKA katika ngazi za shule na vituo vya walimu. Dodoso zilichukuliwa kutoka katika uchunguzi wa kihistoria wa kimataifa uliohusisha takriban walimu 20,000+ , kuhusu uzoefu na changamoto zao katika ufikiaji na matumizi ya EdTech, ufundishaji na ujifunzaji, na maendeleo ya kitaaluma katika mwaka 2021, iliyoripotiwa na timu kutoka T4 Education na EdTech Hub. Maneno muhimu: teknolojia ya elimu; matokeo ya kujifunza; mahitaji ya mwalimu; mafunzo endelevu ya taaluma ya ualimu; sauti ya mwalimu / Kauli ya mwalimu; ufikiaji wa teknolojia An output of the EdTech Hub, https://edtechhub.org
The following attachments are available for this publication.
Based on the content of this publication, we recommend the following resources.